DONALD NGOMA AREJEA KUNDINI KITEMI>> - LAKE MEDIA TV

Breaking

Music

BANNER 728X90

Saturday, 17 February 2018

DONALD NGOMA AREJEA KUNDINI KITEMI>>

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Donald Ngoma tayari ameanza rasmi mazoezi katika klabu hiyo.

Ngoma ambae alikosekana kunako klabu hiyo kwa muda mrefu kutokana na majera ameripotiwa kurejea mazoezini siku ya jana na hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa kamati ya Mashindano wa klabu hiyo, Hussein Nyika.

Nyika amesema kuwa tayari Ngoma amerejea na yupo fiti  kimashindano licha ya kuwa hata safiri na klabu hiyo kuelekea Shelisheli ambako Yanga itakwenda kucheza mchezo wa klabu bingwa AfAidha Nyika aliongeza kwa kusema kuwa Ngoma huenda akahusishwa katika kikosi kitakachoshuka dimbani kuwavaa Majimaji ya Songea kwenye mchezo wa ASFC(Azam Sports Federation).

No comments:

Post a Comment