MANULA AWATOA HOFU MASHABIKI WA SIMBA KUELEKEA MECHI YAO DHIDI YA GENDARMERIE>> - LAKE MEDIA TV

Breaking

Music

BANNER 728X90

Tuesday, 20 February 2018

MANULA AWATOA HOFU MASHABIKI WA SIMBA KUELEKEA MECHI YAO DHIDI YA GENDARMERIE>>

Simba sasa ina uhakika itamtumia Aishi Manula leo katika mechi dhidi ya Gendamarie ya Djibouti.


Hali yake inaonekana kuwa nzuri baada ya kuumia jana kutokana na kuteguka kidole.

Lakini mmoja wa viongozi wa Simba, ameihakikishia LAKE TV kwamba leo Manula ataanza.

No comments:

Post a Comment